Bwawa la maji la Mumashanda linalotumiwa na wakazi wa kabanga hasa maarusi kupigia picha na kwenda kustarehe huko wakichezea maji.



 Mtumbwi unaotumika kuzungusha watu katika Bwawa hilo la Mumashanda lililopo kabanga. Huyo ni mmoja wa wadau wa blog hii Ndugu Rama Kilula akiwa amepozi kwenye mtumbwi huo.







Kituo cha mafuta cha ngaraoil kilichopo Kabanga na kinachomilikiwa na wakazi wa Kabanga kinasifika kwa kutoa huduma bora na inayovutia wateja.
 
Moja ya gari la kampuni hiyo ya ngaraoil ikiwa imepaki nje ya kituo
Moja ya duka la madawa lililopo Kabanga mjini maeneo ya ofisi ya kijiji cha Murukukumbo au maarufu kama kambi ya jeshi, katika duka hili kunapatikana huduma za dawa na vipimo vya magonjwa mbalimbali hivyo husaidia kupunguza msongamano zahanati.

 Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi ya kata ya Kabanga
 Mitaa ya kimilamila kwa wenyeji wanaelewa sana eneo hili kwa uchangamfu na huduma mbalimbali.
 Maeneo ya kwa Issa na Abdu ila waliowengi wanapajua kama kwa baba maja au Matayo maana ndo mwanzilishi wa kujenga eneo hilo.

 Stand ya magari ya mji mdogo wa Kabanga
 Maeneo ya Kabanga garden
 Mtaa wa Zahanati


 Hotel ya kisasa kabisa ndani ya Kabanga inaitwa New Tumaini letu, inatoa huduma za kulala wageni, chakula, vinywaji aina zote, burudani ya mziki na pia kuna kumbi mbalimbali za sherehe.
New Tumaini letu hotel
Haya ni baadhi ya maeneo tu yapo mengi hayajarushwa hivyo kaa mkao wa kusubiri yatarushwa hewani siku yoyote.
 
Top