Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa upande wa Zanzibar akiweka kura yake ya siri ndani ya sanduku la kuhifadhia kura mara baada ya kukamilisha kupiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akiipigia kura Rasimu
inayopendekezwa

Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Seif Ali Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba
inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum toka upande wa
Zanzibar, Mhe. Pandu Ameir Kificho naye akiipigia kura Rasimu ya Katiba
inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan
Suluhu akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Hawa Ghasia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia
kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014
mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe.
Andrew Chenge akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba
inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba
Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014
mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia
ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014
mjini Dodoma.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014
mjini Dodoma.

Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba,wakichangia hoja wakati wa upigaji kura
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014
mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ally
Kessy akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni hapo 2014 mjini Dodoma.
 
Top