Waswahili walisema ajali haina kinga ila hii tunaweza kusema imesababishwa na uzembeee... ni pale dereva wa gari hili alipokuwa mwendo wa kasi huku akijaribu kumkwepa dereva wa bodaboda na kujikuta amevamia uzio wa ofisi za SUMATRA zilizoko barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam na kujikuta amepenya ndani kupitia uzio.
Vijana wakijaribu kumkwamua aweze kutoka.