Kupitia account yake hiyo Zari ameandika haya:
Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the #ZariAll White CirocParty White is always pure, fab & classy. #FeelingConfident coz I see no competition..... 18th December 2014 @guvnoruganda. Zari amemtangaza Diamond Platnumz ikiwa ni siku chache tu baada ya
wawili hao ambao wanadhaniwa kuwa wapenzi kutokana na ukaribu wao na baadhi ya picha za mahaba zilizonaswa mtandaoni kuzagaa.