Leo tarehe 18/12/2014 mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na kuvamiwa na watu wasio julikana na kumtelekeza kando kando ya mto, tunaomba radhi kwa picha hizi kwani mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.
 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.



Majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii Mbeya

 
Top