Imamu wa msikiti wa Baraa Bin Azb Ibrahimu Bombo akimwaga machozi wakati akizungumza kwa hisia juu ya kifo cha Shekhe Mketo(Picha kwa hisani ya mkwinda blog)
Taarifa ambazo zimetufikia punde ni kwamba Shekhe Juma Killa, ameanguka na kufariki muda mfupi baada ya kutoka matembezini Jijini Mbeya.

Tukio hilo limetokea siku chache baada ya shekhe mwingine Jijini Mbeya, Abubakari Mketo, kufariki ghafla wiki mbili zilizopita, baada ya kuanguka wakati akitoa mawaidha makaburini.

 
Top