Mafundi wa umeme unaosambazwa na wakala wa umeme vijijini REA wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakiwa katika harakati za kufunga Transfoma ya kusambaza umeme huo katika mji mdogo wa Nyakanazi wilayani humo.
Mkuu wa mkoa wa Kagera John Mongela kulia akiwa na Diwani wa Kata ya Luisahunga wilayani Biharamulo Bw.Amon mizengo wakati wakipata maelezo kutoka kwa meneja wa TANESCO wilayani Biharamulo Ernest Milayango walipotembelea kujionea uwekaji umeme eneo la Nyakanazi wilayani humo..


Mkuu wa mkoa wa Kagera John Mongela akipokea silaha maalum kutoka kwa kamanda wa ulinzi wa kampuni ya utafiti wa madini wilayani Ngara (Kabanga Nickel) Bw Lok Piun wakati wa ziara yake jana Januari 17,2015 katika kampuni hiyo. Picha na Shaaban Ndyamukama.
Mkuu wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera Richard Mbeho akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa huo John Mongela na viongozi wa chama na serikali kutoka wilayani Ngara katika ukaguzi wa miradi ya umeme wa REA kwa wilaya hizo.

 
 
 
Top