Vinara wa Ligi Kuu Uingereza, Chelsea leo Januari 31,2015 walikuwa kwao Stamford Bridge kucheza na Mabingwa Watetezi Manchester City na wakicheza Mechi hii bila ya Straika wao Diego Costa ambae amefungiwa Mechi 3 wamelazimishwa sare ya bao 1 - 1.
Katika mchezo huo magoli yalifungwa kwa Chelsea na Remy dakika ya 41 huku kwa Manchester City likifungwa na Silva dakika ya 45.

Sare hiyo imebakiza pengo la alama 5 kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea kwa Vinara hao kuwa kileleni na alama 53.

Jumapili Februari 01,2015.

1630 Arsenal v Aston Villa 

1900 Southampton v Swansea 
 
Top