Home
»
MATUKIO
» WATU WATATU WAFARIKI KWA KUWAKA MOTO KWENYE PIKIPIKI MJINI IRINGA
Ajali mbaya imetokea usiku huu Mjini Iringa eneo la Kihesa Kilolo baada ya watu watatu waliokuwa kwenye bodaboda kugongana na lori aina ya fuso iliyokuwa inatoka mjini Iringa kuelekea Dodoma katika barabara ya Iringa -Dodoma na wote watatu wamekufa eneo la tukio kwa kuwaka moto pamoja na piki piki yao picha hazifai.