Aliyewahi kuwa Mkuu wa shule ya Sekondari LUKOLE kabla ya kuteuliwa Afsa Elimu Taaluma wa wilaya Ngara mkoani KageraBw.Jared Muhile akipokelewa na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mumiterama June 22, 2015 wakati akiwasili kwenye viwanja vya shule ya msingi Mumiterama na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ngara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Pamoja na mambo mengine alisema kuwa endapo atapewa ridhaa ya Chama chake katika kuwania Ubunge wa Jimbo la Ngara kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Bw.Jared Muhile amewataka wana Ngara ,’’-wampime kwa mambo aliyokwisha Fanya wakati akiwa Mkuu wa shule Mugoma na LUKOLE sambamba na usimamiz wake uliotukuka akitolea mafanikio aliyoyaleta katika sekta ya Elimu kwa kuitoa wilaya ya NGARA nafasi ya Mia na........ Mpaka nafasi ya therathin na....hivyo kiusimamizi yupo vizuri.

Umati wa wanaCCM na Wananchi wa Mumiterama , ukimsikiliza kwa furaha, Aliyewahi kuwa Mkuu wa shule ya Sekondari LUKOLE kabla ya kuteuliwa Afsa Elimu Taaluma wa wilaya Ngara mkoani Kagera Bw.Jared Muhile (hayupo pichani) wakati alipopanda jukwaani kuwahutubia  June 22, 2015 wakati anatangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ngara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.








Bw.Jared Muhile (pichani) akiwahutubia wana CCM na Wananchi wa Mumiterama ,wilayani Ngara mkoani Kagrea na kuwataka wanangara katika uchaguzi wa safari hii kuwa makini na wachagua Mbunge msomi mzawa na mkazi wa Ngara na kwamba kama chama kitampa nafasi na kuchaguliwa na Wana Ngara kuwa Mbunge wao ,atatumia robo ya mshahara wake kwa shughuli za maendeleo kila kata na kwa muda wote wa ubunge wake.





 
Top