Ajali hii nyingine tena imetokea Tanangozi,mkoani Iringa Jana Julai 15,2015 ambapo watu watu wamekufa papo hapo na wengine wanne kukimbizwa hospitali kupatiwa matibabu kutokana na majeraha waliyoyapata na walikua kwenye gari ndogo wakitokea mkoani Dodoma kuelekea mkoani Mbeya.
Inaelezwa kuwa chanzo cha ajali ni Lori na gari dogo kugongana uso kwa uso inaonesha gari dogo lilipoteza mwelekeo na kwenda moja kwa moja kwenye Lori.



 
Top