Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu KamishnaMohamed Mpinga,Pale alipokutana na Mtego wa Wazee wa Kazi (Majambazi) akiwa ziarani Mpanda, Rukwa, Katavi na Kigoma.
Mawe yalitegwa barabarani bahati nzuri walikuwa na ulinzi imara mbele wakakutana na Basi la Adventure pichani walilazimika kulisindikiza hadi lipite eneo hilo, maana inaelekea ndio ilikuwa target. Na ilikuwa ni saa 5asubuhi tu.Hili limenifanya nitafakari kidogo ile hoja yangu ya mabasi baadhi ya sehemu kuruhusiwa kutembea usiku.