Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo mpya wa kufua umeme mjini Ngara, akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo mpya wa kufua umeme Mjini Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani.
Moja ya mabango ambayo yalibebwa na wananchi wa Ngara katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe Kassim Majaliwa mjini Ngara Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majliwa akizungumza na Wananchi wa Ngara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Mtambo Mpya wa Umeme mjini Ngara Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majliwa akizungumza na Watumishi na Viongozi wa Mkoa wa Kagera kuhitimisha ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilay ya Ngara Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwakizungumza na wakimbizi wa Burundi walioko katika kambi ya Lumasi iliyopo wilayni Ngara. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15 2016.
Baadhi ya wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo wilayani Ngara wakimsikilza Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916.
Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwa akiagana na viongozi kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Lumasi iliyoko Ngara viongozi wa wilaya na UNHCR baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Kassim Majliwaakisalimiana na waumishi wa Shirika la Umeme Nchini TANESCO baada ya kuwasili kwenye eneo unapowekwa mtambo mpya wa kufua umeme mjini Ngara ambao aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake Machi 15, 2016.