"Tuitake serikali itoe tamko la kuwarudisha watendaji hawa ambao ni darasa la saba makazini siyo kuwalipa, haiwezekani mtu amefanya kazi toka miaka mingi unakuja kumfukuza kazi, leo hatuzungumzi suala la kulipwa mafao bali warudishwe kazini watoke makazini kwa muda wao wa kustaafu na hili limefanyika hata kwenye majeshi, enzi hizo majeshini watu walikuwa wanachukuliwa darasa la saba leo wengine ni mameja, wengine ma OCD wameachwa mpaka wastaafu wenyewe iweje watendaji tunawafukuza kazi yaani mtu amebakisha miaka miwili ya kustaafu unamfukuza, tuiombe serikali na kama itakaidi mimi naomba na sisi wabunge wa darasa la saba humu ndani mtufukuze tu" Msukuma
Related Posts
Mbunge Gashaza atoa Milioni 6 za Mfuko wa Jimbo Kuchochea Maendeleo Rulenge.
Mbunge wa Jimbo la Ngara mkoani Kagera Mhe.Alex R.Gashaza akikagua ujenzi wa Vyumba vya Madaras[...]
Jun 05, 2018DC Ngara - Apiga Marufuku Daraja Lisitumike Hadi Makubaliano Rasmi Yatakapofikiwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilayani ya Ngara Lt. Col. Michael Mntenjele, amepig[...]
May 02, 2018Taswira Picha - Makazi Mapya ya Familia ya Mtoto Anthony Petro wa Ngara.
Ujenzi wa Nyumba ya Familia ya Mzee Petro Magogwaambaye ni Baba mzazi wa MtotoAnthony Petro wa Ki[...]
May 01, 2018WABABA WATAKAOKAIDI WITO WA MAKONDA KUKAMATWA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguka na kuweka wazi kuwa kuanzia April[...]
Apr 12, 2018Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack. Serikali ya Kata ya Nsalala, Tarafa ya Itwangi, mko[...]
Apr 12, 2018HUYU NDIYO MKURUGENZI MPYA WA VODACOM TANZANIA by
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom, Ian Ferrao ametangaza kuachia mikoba ya kuiongoza kampuni hiyo [...]
Apr 10, 2018