HALI ILIVYOKUWA KATIKA UWANJA WA
USHIRIKA MJINI MOSHI KWENYE UZINDUZI WA
KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014
SIKU
YA JANA YAANI JUMAMOSI TAREHE 24 MWEZI MEI WATU WANAOPENDA BURUDANI WALIFURIKA
KATIKA UWANJA WA USHIRIKA ILI KUSHUHUDIA BURUDANI YA UZINDUZI WA KILIMANJARO
MUSIC TOUR AMBAPO WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2014 WAMEANZA
ZIARA YA KUZUNGUKA MIKOANI KUWASHUKURU MASHABIKI WALIOWAPIGIA KURA NA
KUWAWEZESHA KUSHINDA TUZO HIZO.
WASANII
MBALI MBALI WALIPANDA JUKWAANI KUWAPA BURUDANI WAKAZI WA MOSHI NA MAJIRANI ZAO.
PICHA
ZA MATUKIO YALIVYOKUWA KWENYE UWANJA HUO