Marehemu
alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari ya wasichana ya Bwiru iliyoko jijini
Mwanza ambapo alistaafu kazi ya ualimu mwaka 1990 na aliendelea kuishi mwanza
hadi usiku wa tarehe 23 mwezi mei ambapo mauti yalimkuta kutokana kuugua kwa
muda mrefu uvimbe tumboni.
Mwili
wa marehemu ulisafirishwa hadi nyumbani kwao Murugarama Ngara mkoani kagera kwa
ajili ya mazishi yaliyofanyika siku ya jumapili tarehe 25 mwezi mei mwaka 2014.
Mungu
ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.