timu ya kabanga eleven fighters

MECHI IMECHEZWA LEO JUMAPILI TAREHE 1 JUNE KATIKA UWANJA WA KABANGA NGARA AMBAPO WAGENI HAO WALITANGULIA KUONGOZA KWA GORI MOJA KWA BILA KATIKA KIPINDI CHA KWANZA NA BAADAE KATIKA KIPINDI CHA PILI KABANGA WAMESAWAZISHAGORI HILO NA MATOKEO KUSOMEKA MOJA MOJA LAKINI KABANGAWAMESHINDWA KUTETEA USHINDI WAO WALIOUPATA MWANZO WALIPOITEMBELEA TIMU HIYO NCHINI BURUNDI WA GORI 1 KWA BILA NA KUJIKUTA WAKIONGEZWA GORI NYINGINE MBILI HADI MWISHO WA MCHEZO ILABILO 3 NA KABANGA 1.
Timu ya Ilabilo ya Mkoani Muyinga
BINAFSI NIMEUMIA NIKIWA KAMA MCHEZAJI WA KABANGA ELEVEN FIGHTERS NILIYEKO MBALI NA TIMU HIYO KWA SASA SABABU YA MASOMO ILA NAOMBA WASIKATE TAMAA NDO MATOKEO YA MPIRA, MWEZI WA SABA NITARUDI KUONGEZA NGUVU NAAMINI TUTASHINDA.
Mashabiki wa kabanga wakiondoka uwanjani kwa huzuni