Majengo haya ya Ofisi za Halimashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera licha ya kuwa katika makutano ya barabara kuu ya Burundi-Benaco-Lusahunga hadi Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyang’a, eneo la Junction Lakini yamekosa kuboreshwa sambamba na mandhari ya mazingira yake sehemu ya kuingilia lango kuu la ofisi ili kuwa kivutio cha kuwa umeingia Mji wa Ngara.
Unapofika eneo hilo,kivutio kikubwa kimekuwa ni kituo cha mafuta cha NGARA OILkilichopo pembezoni mwa barabara hiyo ambacho kimejengwa kwa ustadi mkubwa na Mazingira yake kuwa ya mvuto kwa watazamaji wanaopita kupata huduma ya mafuta.



 
Top