Malori hukwama katika mlima hasa kutokana na kushindwa kupanda mpando mkali katika mlima wa Nyabugombe barabara ya Nyakahura –Rusumo mkoani Kagera na hata mlima wenye kona kali wa Kitonga mkoani Iringa na Sekenke mkoani Singida.
Kwa habari za uhakika