Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 26/05/2015 wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza ambapo watoto wamepatiwa dawa hizo za kuwakinga na minyoo pamoja na kichocho. Zoezi hilo ni siku mbili ambapo linatalajiwa kuendelea kesho wilayani humo, wito umetolewa kwa wazazi kuhakikisha watoto wao wanapata dawa hizo ili kuepukana na tatizo la minyoo na kichocho kwa watoto wao.




PICHA ZOTE NA MDAU WETU ALIYEKO KWIMBA.

 
Top