Hapa ni katika eneo la station mjini Shinyanga treni ya abiria ikiwa imeacha njia( haionekani vizuri hapo chini) na kusababisha abiria 159 wanaosafiri na treni hiyo kutoka Tabora kwenda jijini Mwanza kunusurika kufa na kukwama kwa saa kadhaa.Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga

Wakazi wa Shinyanga wakiangalia treni hiyo


Treni ikiwa imesimama

Taarifa kamili tunakuletea hivi punde...endelea kutembelea ngarayetu blog

Credit:Malunde 1 blog
 
Top