Mzoga wa nyangumi wapatikana ufukweni
Mzoga huo unaaminika kusombwa na maji ya bahari na kukwama kwenye mwamba.
Haijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo.
Image captionHaijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo.
Image captionHaijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo.
Mwanidhi wa BBC aliyeko huko Pumza Fihlani anasema kuwa maafisa wa afya wa umma wametangaza kuwa ufukwe huo utafungwa kwa umma leo, ilikufanikisha shughuli ya kuondoa mzoga huo uliowavutia halaiki ya watu mapema leo.
CREDIT: BBC SWAHILI