VIFO VINAZIDI KUIANDAMA WILAYA YA NGARA.
Ndugu
Julias Gashaza enzi za uhai wake.
Ikiwa kuna mfululizo wa
matukio ya vifo ndani ya wilaya yetu, leo Jumapili wana Ngara tumepokea kwa
mshtuko kifo cha Bwana JULIAS GASHAZA mzaliwa wa Murukulazo wilayani Ngara
aliyekuwa mfanyakazi wa EURA na kwa sasa alikuwa anaishi jijini Dar Es salaam.
Tuiombee Ngara yetu huu
mwezi umekua wa ajabu sana kwa wilaya yetu.
Pumzika kwa amani ndugu
yetu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.