Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro.



Kikosi cha zima moto cha manispaa ya Moshi kilifika eneo la tukio kwa ajili ya kuudhibiti moto huo.
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo. 

Baadhi ya mashuhuda wakitizama moto ulivyokuwa ukiteketeza gari hilo.


 
Top