Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE.
Navy Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa wanakuletea album nzima! Producer Nahreel amefanya kazi na wasanii wakubwa na kutoa vibao kama HAWAJUI ya Vanessa Mdee na GERE ya Weusi. Pia amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa wakiwemo Joh Makini, Nikki wa Pili, Izzo Biznes, Pah One, G nako, Nakaaya na Roma.

I JUST WANNA LOVE YOU imetoka rasmi leo 26/09/2014
 
Top