Wakicheza Ugenini huko Camp El Madriga leo September 27,2014, Real Madrid wameichapa Villareal Bao 2-0 huku Bao zote zikifungwa Kipindi cha Kwanza kwa Bao la Kwanza Dakika ya 32 baada ya Pasi ya Toni Kroos kumkuta Luka Modric akiwa Mita 20 na akaachia Shuti lililompita Kipa Asenjo.
Cristiano Ronaldo akapiga Bao la Pili dakika ya 40 alipounganisha Krosi ya Karim Benzema na hilo ni Bao lake la 10 kwenye La Liga Msimu huu.

Nako huko NOU CAMP usiku wa leo ilikuwa ni furaha tupu baada ya FC Barcelona kuinyuka Granada Bao 6-0 na kutwaa uongozi wa La Liga huku Neymar akipiga Hetitriki na Lionel Messi kufunga Bao 2.

Bao za Barca zilifungwa na Neymar, Dakika za 26, 45 na 66, Ivan Rakitic, 43 na Messi 62 na 82.

League Table La Liga 2014/2015

PositionTeamPlayedGoal DifferencePoints
Moving up 1Barcelona61716
Moving down 2Valencia51113
No movement 3Sevilla5613
Moving up 4Real Madrid61112
Moving down 5Celta de Vigo6412
Moving down 6Atl Madrid5311
No movement 7Villarreal618
No movement 8Granada CF6-58
No movement 9Eibar517
No movement 10Málaga5-26
No movement 11Espanyol5-15
No movement 12Almería5-15
No movement 13Rayo Vallecano5-25
No movement 14Real Sociedad5-14
No movement 15Deportivo de La Coruña5-74
No movement 16Elche6-94
No movement 17Levante5-94
No movement 18Ath Bilbao5-23
No movement 19Getafe5-83
No movement 20Córdoba5-72
 
Top