Ni muonekano wa mwili ukiwa eneo la tukio baada ya kuawa kinyama kwenye kijiji cha Murufiti, wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, nchini Tanzania, Octoba 08,2014 usiku baada ya kundi la watu kuwavamia, kuua na kuchoma moto miili yao kwasababu za kishirikina. 


Ni muonekano wa mwili ukiwa umeungua vibaya kwa moto baada ya kuawa kinyama na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto kwenye kijiji cha Murufiti, wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, kwa sababu za kishirikina. 


 
Top