Watu 6 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa baada ya basi la Mohamed Trans lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Dsm kupinduka leo tarehe 16/12/2014 eneo la Makomero, mpakani mwa Singida na Tabora. Bado hatujapata chanzo cha ajiri hii na idadi ya majeruhi.
Tutaendelea kuwajuza habari hii endelea kufatilia mtandao huu.

Chanzo: CapitalRadio Tanzania

 
Top