Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.

Watu sita wamefariki dunia eneo la makomero Igunga, mkoani Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steering power' likaacha njia na kupinduka. 

Basi hilo limepinduka leo tarehe 16/12/2014 majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.

 
Top