Diamond akiwa sambamba na Mama yake Mzazi akiwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Safarini Nchini Uganda tayari kwa Show yake ya Hapo Kesho iliyopewa jina la #Zari_AllWhite_CirocParty
Diamondi Platnumz akiwa na Meneja wake ajulikanae kwa jina la @Sk_ent safarini Nchini Uganda tayari kwa Show ya #Zari_AllWhite_CirocParty #Guvnor #Kampala hapo Kesho.
Diamond Platnumz Akiwa na Mwenyeji wake Zari the Boss Lady huku akiwa amezungukwa na waandish wa habari wengi wa nchini Uganda wakifanya yao....