Baada ya idris kushinda ule mtonyo katika mashindano ya bba kule kwamadiba davido akatoa kauli kwamba ‘they cheat again’ kwaupande wake Diamond ilimuuma sana hiyo kauli na kuhisi kwamba hata kwenye tuzo za Channel O pia inaonekana walicheat pia
usiku huo huo wajana Diamond alitajwa kuwa mshindi wa Future Awars ndipo Diamond alipoamua kuupload ile picha ya tuzo nakuandika haya “Thanx god, we have cheated another one on The Future Awards Africa in Lagos Nigeria… #SameDay #SameNight Thank you aALLAH!”
673 Total views 673 Todays views