Viongozi wa matawi ya Simba Wilayani Temeke WAPATA 5 wamepata ajali wakitokea mkoani Mtwara katika pambano la Simba na Ndanda mchezo uliochezwa Jumamosi wa ligi kuu ya vodacom viongozi hao wa matawi wilayani Temeke walipata ajali ya kugonga ngombe katika eneo la kiwanga barabari kuu ya Lindi kibiti
gari la kiongozi wa simba matawi ya temeke lililopata ajali ya kugonga ngombe katika eneo la Mhoro barabara ya kilwa jana picha na Sultan Mkwera
gari la kiongozi wa simba matawi ya temeke lililopata ajali ya kugonga ngombe katika eneo la Mhoro barabara ya kilwa jana picha na Sultan Mkwera

gari hilo lililogonga ngombe likiendeshwa na dereva Methord Mathew ambaye alikuwa na wenzake jumla ni 5 gari hilo aina ya prado namba za usajili T439 CFT mwandishi wetu aliekuwa huko muhoro amesema gari hilo liligonga ngombe waliokuwa wanavuka barabara na mchungaji bila kuangalia barabarani kitu gani ndipo ajali hiyo ilipotokea katika kujitahidi dereva kufunga breki na kuserereka akagonga ngombe kadha na 2 walikufa papo hapo na wenginge wamejeruhiwa na kushindwa kutembea kwa mujibu wa mwandishi wetu ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni jumapili huku mchungaji wa mifugo aliesababisha ajali alikimbia na kutoweka na baadae alijitokeza katika kituo cha polisi cha muhoro na kujisalimisha mwenyewe alitambulika kwa jina moja tu la Lufunga ambaye anashikiliwa na polisi viongozi hao wakiongozwa na methord mathew ambaye ndiye dereva gari hilo limeharibika katika bampa la gari kwa mujibu wa mwandishi walirejea Dar essalaam jana tutawajuza.
~Mzuka.blogspot.com

 
Top