Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amefanya tena ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na Shirika la reli TRL na kubaini upotevu wa makontena zaidi ya 2431 na kutaka majibu ya kina hadi jioni.
Katika hatua nyingine, waziri mkuu alitembelea shirika la reli na kukuta mabilioni yametumika na miradi iliyokusudiwa haijatekelezwa.
CHANZO: EATV